Home > All Stories > KAPUNGA KUMEKUCHA, MWEKEZAJI KAZIBA NJIA ZOTE!

KAPUNGA KUMEKUCHA, MWEKEZAJI KAZIBA NJIA ZOTE!

Kapunga

Meneja Uzalishaji wa Kapunga Rice Project Limited, Sergei Bekker, akimwelekeza admin mipaka ya shamba lake. Mwekezaji huyo amefunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na wanakijiji wa Kapunga kwenda mashambani kwao kupitia kwenye shamba la mwekezaji.

Kapunga

Sergei Bekker akionyesha mipaka ya shamba lake.

Kapunga

Haya ndiyo mashamba ya mpunga kwenye Mradi wa KRPL ambamo ndani yake zimo barabara ndogo zilizokuwa zikitumiwa kwa miaka yote na wakulima wa Kapunga wakati wanakwenda kwenye mashamba yao yaliyoko eneo la Mpunga Mmoja. Sasa wanalazimika kuzunguka umbali wa kilometa sita ndipo wafike mashambani. Wakulima hao kwa sasa wamejikusanya wanataka kwenda kuvamia kwa mwekezaji. Mkuu wa wilaya amewaambia kwa simu tu wananchi hao 'wazungumze na mwekezaji'.

Kapunga

Hapa ndipo penye ofisi za utawala, karakana na nyumba na watumishi wa KRPL.

Kapunga

Eneo ambalo halijaendelezwa linaloelezwa kuwa la Kijiji cha Kapunga ambalo mwekezaji aliuziwa na serikali.

Airport

Huu ni uwanja mdogo wa ndege (airstrip) wa mwekezaji uliojengwa kwenye eneo ambalo zamani lilikuwa la kijiji cha Kapunga kabla ya 'kumilikishwa' kwa mwekezaji.

Advertisements
Categories: All Stories
  1. No comments yet.
  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: