Home > All Stories > Lazima tuwasaidie wazazi wetu

Lazima tuwasaidie wazazi wetu

Kuwasaidia wazazi ni kujifunza, hivyo lazima vijana washiriki kikamilifu kazi za nyumbani kwa kuzingatia umri na uwezo wao. Huo ndio msingi mkubwa wa kuweza kujitegemea hapo baadaye.

Tunawasaidia wazazi pia. Mtoto huyu akiwa amebeba mdogo wake wakati wazazi wao wakifanya shughuli nyingine.

Tunawasaidia wazazi kukoboa. Vijana hawa wakikoboa mahindi katika kijiji cha Nghambi wilayani Mpwapwa.

Vijana hawa wakikoboa mahindi katika kijiji cha Nghambi wilayani Mpwapwa

Advertisements
Categories: All Stories
  1. No comments yet.
  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: