Home > All Stories > Ukubwa wa umri ni ujana wa umahiri

Ukubwa wa umri ni ujana wa umahiri

Wazee kama hawa wanapaswa kuenziwa kutokana na busara zao badala ya kuwanyanyasa. Vijana wanatakiwa kujifunza kutoka kwao ili kujenga taifa lenye nidhamu, busara na hekima. Tusiwadharau wala kuwanyanyapaa, kwani kila umri unapozidi ndivyo busara zinavyoongezeka. Tukumbuke kwamba, hata wao ni ‘Vijana wa zamani’. Mungu awabariki sana.

Naweza kusoma na kuandika, lakini sijawahi kuingia darasani! Mzee Habel Mtembeli (81) wa kijiji cha Ilindi wilayani Bahi, anasema pamoja na kukosa shule enzi zake, lakini kupitia ngumbalo sasa anajua kusoma Biblia vizuri.

Hata uwezo wa kuona haujapungua

Bado nina nguvu. Mzee Makago Silanga (85) akionyesha kwamba bado ana nguvu.

Makago Silanga (85) mkazi wa kijiji cha Nghambi wilayani Mpwapwa akiota jua.

Asante mjukuu wangu! Mzee Makago akipokea fedha ya kununulia ugoro kutoka kwa mjukuu wake.

Mzee George Silanga (81) wa kijiji cha Nghambi mkoani Dodoma.

Advertisements
Categories: All Stories
  1. No comments yet.
  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: