Home > All Stories > WASHINDI WA TUZO YA UANDISHI BORA TANZANIA 2011

WASHINDI WA TUZO YA UANDISHI BORA TANZANIA 2011


Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu pamoja na washindi wa Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Tuzo hizi zilitolewa Ijumaa, Machi 30, 2012 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, ambapo admin wa kijiji hiki aliibuka na mojawapo kuhusu Migogoro na Majanga.

 

MWANANCHI Communication Limited dominated the 2011 excellence in journalism awards after emerging winners in 11 categories among the 19 categories contested in print media.

MCL, the publishers of The Citizen, Mwananchi and Mwanspoti also emerged an overall winner after president Jakaya Kikwete who was the guest of honour named Mwananchi reporter Mr Nevile Meena a winner of the award in colourful event held at the Diamond Jubilee hall in Dar es Salaam.

Else where, the Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) dominated the awards in television as it emerged winners in three categories. TBC also dominated the wards in radio after emerged winners in three categories.

While Mr Philp Karashani beat Mrs Edda Sanga and Hamis Ben Kiko for the life time achievement awards. According to MCT executive secretary who was also the chairperson of the organizing committee Mr Kajubi Mukajanga the award was introduced to honour people’s devotion to develop the media industry.

Mr Karashani who described himself as a son of the media put his success down to hard working and commitment.  “Young journalist should work hard and be committed to their work that is the only way they could succeed,” he said.

Some of MCL reporters who won the awards include Erick Kabendera who won in the education category. Also in the list is Polycarp Machira who won in two categories namely economic and business and human interest.

Others are Bernard Lugongo (Science and technology), Sharifa Kalokola (health category) and Daniel Mbega (Disaster and conflict category). Alos in the list were Lucas Liganga who won in the environment category.

The list of MCL reporters who won the awards is concluded by Mr Nevile Meena who apart from emerging an overall winner won in two categories namely good governance as well as in the telecommunication category.

Speaking shortly after receiving the award Mr Bernard Lugongo described the award as a dream come true. He added he took the award as a challenge for him to do better in the future.

Winners in other categories, include Ms Victoria Patrick from TBC and Ms Grace Kiondo from Zenji Fm who won in education category for television and radio respectively.

Also in the list is Mr David Azaria  (habari leo) who won the reporting people with disabilities category. The winners of the same category from Television and Radio are Mr Lekoko Piniel ole Levilal   (channel ten) and Mr Tuma Dandi (Mlimani Radio).

The award for best cartoonist went to Mr Nathan Mpangala from the guardian. While the awards for Malaria Category for print media went to Mr Audax Mutiganzi (Rai) while for Radio the award went to Mr Gervas Hubile (TBC)

The award for good governance reporting (television) went to ITV’s Emanueli Buhohela while for Radio it went to Mr Noel Thomson from Mwanza based Afya Fm.

Best reporter (Radio) for science and technology was Mr Abel Onesmo Mwende (clouds Fm) as there was no nominee for television. The sports and culture award for print media went to Mr Iman Mani from daily news.

While Mr Anuary Mkama (mlimani Tv) and Mr Abdallah Majura won the same award in Television and radio. The concervation of national parks category winner for print media was Mr Paul James Sarwatt (Raia Mwema. For Radio the award was won by Alex Magwiza (tbc Taifa), there was no television entry in this category.

Domestic tourism category (print media) was won by Ms Monica Luwondo from The Guardian and for television was Mr Juma Nugaz (clouds tv).

Ms Aneth Andrew won the economic and business category for television while Joseph Bura (TBC Taifa) won the disaster and conflict reporting category. Ms Beatrice Nangawe from Sunrise Fmwas was the winner in HV and Aids category for Radio.

Health reporting award for radio went to Afya Fm’s Cesilia Ndabageze as Mr Khamis Said (Uhuru) emerged the best photographer. Children category for print media went to Nashon Kennedy (Tanzania Daima). Anganile Mwakyanjala (TBC) and Sempanga Mchome (Sauti ya Injili) won the award in television and Radion respectively.

Gender category (print Media) was won by Nasra Abdallah (Tanzania Daima.

SOURCE: THE CITIZEN

 

 

ORODHA YA WATEULE NA WASHINDI

TUZO YA MPIGA PICHA BORA

Wateule ni:
1. Abdallah Bakari – Mwananchi, Dar es Salaam
2. Khalifan Said – The Guardian, Dar es Salaam
3. Khamis Said Hamad – Uhuru, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Khamis Said Hamad kutoka gazeti la Uhuru, Dar es Salaam. Picha iliyomfanya kuwa mshindi ilihusiana na mazishi ya watu waliopata ajali katika basi la Delux.

Atakayekabidhi zawadi ni: Aggrey Marealle, Mkurugenzi Mtendaji, Executive Solutions Limited. Kampuni hii inashughulika na masuala mbalimbali yanayohusiana na mambo ya habari.

TUZO YA MCHORAJI BORA WA VIBONZO

Wateule ni:
1. Said Michael – Tanzania Daima, Dar es Salaam
2. Nathan Mpangala – Majira, Dar es Salaam
3. Samuel Mwamkinga –The Citizen, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Nathan Mpangala wa gazeti la Majira, Dar es Salaam. Kibonzo kilichomfanya ashinde kinahusiana na jitihada za Wabunge kujiongezea posho huku wananchi wakiteseka.

Atakayekabidhi zawadi atakuwa ni Hellen Kijo Bisimba, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Mwaka 2008 alishinda Zawadi ya Mwanamke Jasiri iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani.

TUZO YA HABARI ZA UTAWALA BORA –MAGAZETI

Wateule ni:
1. Joseph Zablon – Mwananachi, Dar es Salaam
2. Neville Meena – Mwananchi, Dar es Salaam
3. Fredrick Katulanda – Mwananchi, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Neville Meena kutoka gazeti la Mwananchi, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi inasema “Tuhuma za Rushwa wizara ya Nishati na Madini”

Atakayekabidhi zawadi ni: Afisa Mtendaji Mkuu wa Serengeti Breweries Limited. Serengeti wamekuwa mstari wa mbele kutoa misaada ya kijamii katika Nyanja za michezo, elimu, habari na hifadhi za taifa. Serengeti Breweries Limited pia ni wahisani wa EJAT.

TUZO YA HABARI ZA UTAWALA BORA – TELEVISHENI

Wateule ni:
1. Jamaly Said – TBC, Dar es Salaam
2. Emmanuel Buholela – ITV, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Emmanuel Buholela wa ITV, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Migogoro ya Ardhi inayoweza kuleta uhasama katika jamii.

Atakayekabidhi zawadi ni: Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya EXIM. EXIM ni mojawapo ya benki ambazo zimekuwa zikitoa misaada kwa wanajamii. EXIM imeahidi kushirikiana na EJAT katika kuandaa Tuzo za mwaka ujao

TUZO YA HABARI ZA UTAWALA BORA –RADIO

Wateule ni:
1. Latifu Said Matimbwa – TBC Taifa, Dar es Salaam
2. Noel Thomson – Radio Afya, Mwanza

Na Mshindi ni: Noel Thomson wa Afya Radio – Mwanza. Habari iliyompa ushindi ni “Kutowajibika kwa viongozi na kusababisha hali mbaya ya choo shuleni

Atakayekabidhi Zawadi ni Ernest Sungura. Sungura ni Mkuu wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF). TMF ni mfuko uliobuniwa kwa lengo la kuongeza ubora na uhuru katika vyombo vya habari hasa kwa kuweka mkazo katika habari za uchunguzi na habari zenye mvuto kwa jamii.

TUZO YA HABARI ZA MALARIA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Audax Mutiganzi – Rai – Bukoba

Na Mshindi ni: Audax Mutiganzi wa gazeti la Rai, Bukoba. Habari iliyompa ushindi ni “Dawa ya Ukoko ilivyopunguza maambukizi ya malaria Bukoba

Atakayekabidhi Zawadi ni Rob Ainslie, Mkuu wa COMMIT, Commit ni mpango wa kupambana na Malaria nchini Tanzania. Mpango huu unafadhiliwa na Shirika la Maendeleo la USAID. Mpango huu pia ni washirika wa EJAT.

TUZO YA HABARI ZA MALARIA – TELEVISHINI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA MALARIA – RADIO

Wateule ni:
1. Noel Thomson – Afya Radio, Mwanza
2. Gervas Hubile – TBC Taifa, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Gervas Hubile wa TBC Taifa. Habari iliyompa ushindi ni “Ukubwa wa tatizo la malaria vijijini na namna ya kukabiliana nalo.”

Atakayekabidhi Zawadi ni Andrew Rebold. Rebold ni Naibu Mkuu wa Timu ya Masuala ya Afya katika Shirika la Misaada la Marekani (USAID).

TUZO YA HABARI ZA MICHEZO NA UTAMADUNI – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Abdallah Msuya – Daily News, Dar es Salaam
2. Iman Mani – Daily News, Dar es Salaam

Na Mshindi ni Iman Mani wa Daily News, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Staging community theatre challenges.”

Atakayekabidhi Zawadi ni Leonard Thadeo. Bw. Thadeo ni Mkurugenzi wa Michezo, wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

TUZO YA HABARI ZA MICHEZO NA UTAMADUNI –TELEVISSHENI

Wateule ni:
1. Anuary Mkama – Mlimani TV, Dar es Salaam

Mshindi ni Anuary Mkama wa Mlimani TV, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Sababu za kuzorota mpira wa miguu mkoani Arusha.”

Atakayekabidhi Zawadi ni Dioniz Malinzi. Bw. Malinzi ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT).

TUZO YA HABARI ZA MICHEZO NA UTAMADUNI –RADIO

Wateule ni:
1. Adeladius Makwega – TBC Taifa, Dar es Salaam
2. Dorice Kaunda –TBC Taifa, Dar es Salaam
3. Abdallah Majura – Sport FM – Dodoma

Na Mshindi ni Abdallah Majura wa Sport FM – Dodoma. Habari iliyompa ushindi ni “Tanzania kushindwa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa miaka 30.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Absalom Kibanda- Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF). Jukwaa hili linawaunganisha wahariri wapatao 85 kutoka vyombo vyote vya habari.

TUZO YA HABARI ZA WATU WENYE WENYE ULEMAVU – MAGAZETI

Wateule ni:
1. David Azaria – Habari Leo – Mwanza
2. David Azaria – Habari Leo –Mwanza (He had two stories which entered the final)
3. Joas Kaijage – The Citizen – Kagera

Na Mshindi ni: David Azaria wa Habari Leo, Mwanza. Habari iliyompa ushindi ni “Albino alivyokataa kutoka hospitali kwa kuhofia kuuawa.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Reginald Mengi. Mengi ni Mwenyekiti wa IPP Media. Pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT). MOAT piani washirika wa EJAT. Bw. Mengi ni amekuwa akitoa misaada mingi kwa watu wenye ulemavu. Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Watu wenye Ulemavu Tanzania.

TUZO YA HABARI ZA WATU WENYE WENYE ULEMAVU – TELEVISHENI

Wateule ni:
1. Stanley Ganzel – TBC, Dar es Salaam
2. Lekoko Piniel Ole Levilal – Channel 10, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Lekoko Piniel Ole Levilal wa Channel 10, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Sababu za kuwatenga na kuwanyanyasa walemavu.”

Atakayekabidhi zawadi ni: Haika Mawala, Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT. CCBRT imekuwa ikijishughulisha na utoaji wa huduma ya afya na huduma nyingine kwa watu wenye ulemavu.

TUZO YA HABARI ZA WATU WENYE WENYE ULEMAVU – RADIO

Wateule ni:
1. Mwamini Andrew – TBC Taifa, Dar es Salaam
2. Tuma Dandi – Radio Mlimani, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Tuma Dandi wa Radio Mlimani, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Wagonjwa walemavu wa akili na mimba, ubakaji na ukimwi.”

Atakayekabidhi zawadi ni: Dk. Bohela Lunogelo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utafiti wa Uchumi na masuala ya kijamii.

TUZO YA HABARI ZA JINSIA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Nasra Abdallah – Tanzania Daima, Dar es Salaam

Na Mshindi ni Nasra Abdallah wa Tanzania Daima, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Kazi za ndani ndizo zilizonifikisha hapa nilipo.”

Atakayekabidhi zawadi ni Bibi Mwanahamisi Salumu Singano kutoka Oxfam.

TUZO YA HABARI ZA JINSIA – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA JINSIA –RADIO
Hakuna Mteule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA UKIMWI /VVU – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Abdallah Bakari – Mwananchi, Dar es Salaam
2. Elias Msuya – Mwananchi, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Elias Msuya wa gazeti la Mwananchi, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Sipati picha maisha haya ya ukimwi. Napiga moyo konde kuishi na ukimwi.”

Atakayekabidhi zawadi ni: Dr. Fatma Mrisho, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Ukimwi (TACAIDS). Tume hii ndiyo inayotoa miongozo na mikakati kuhusu namna ya kupambana na ukimwi.

TUZO YA HABARI ZA UKIMWI /VVU – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA UKIMWI /VVU – RADIO

Wateule ni:
1. Rehab Fred – Radio Free Africa – Dar es Salaam
2. Beatrice Nangawe – Sunrise Radio, Arusha

Na Mshindi ni: Beatrice Nangawe wa Sunrise Radio, Arusha. Habari iliyompa ushindi ni “Ukimwi ni huu: jinsi biashara ya ukahaba inavyoshamiri wilayani Karatu na jamii isivyojali afya zao.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Ernest Shumashike – Mkurugenzi Mtendaji wa ECOPRINT. Ecoprint ndiye aliyechapa ratiba ya Sherehe za Utoaji wa Tuzo hizi na hotuba ya Katibu Mtendaji wa MCT. Amefanya hivyo bila malipo. Na maekuwa akifanya hivyo tangu 2009.

TUZO YA HABARI ZA AFYA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Fredy Azzah – Mwananchi, Dar es Salaam
2. Sharifa Kalokola – The Citizen, Dar es Salaam
3. Lilian Rugakingira – Mwananchi- Kagera

Na Mshindi ni: Sharifa Kalokola wa gazeti la The Citizen Newspaper, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Abortion pills sold over the counter.”

Atakayekabidhi zawadi ni: Jaji Thomas Mihayo. Jaji Mihayo ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania. Ni Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu. Ni Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania. Ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT).

TUZO YA HABARI ZA AFYA – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA AFYA – RADIO

Wateule ni:
1. Catherine Nchimbi – TBC Taifa, Dar es Salaam
2. Secilia Ndabigeze – Afya Radio- Mwanza
3. Faraja John Sendegeya – Afya Radio – Mwanza

Na Mshindi ni: Secilia Ndabigize wa Afya Radio, Mwanza. Habari iliyompa ushindi ni “Utoaji wa meno kwa watoto na mila na desturi zilizojengeka.”

Atakayetoa zawadi ni: Dr. Marina Njelekela. Dk. Njelekela ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dk. Njelekela alipata umaarufu baada ya kuongoza chama cha Madaktari wanawake katika kampeni za kuwaelimisha watu na kupima kansa ya maziwa.

TUZO YA HABARI ZA MAZINGIRA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Mary Mahundi – Mwananchi, Dar es Salaam
2. Felix Mwakyembe – Raia Mwema, Mbeya
3. Lucas Liganga – The Citizen, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Lucas Liganga wa gazeti la The Citizen, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni: “Illegal fishing in Lake Victoria threatens to wipe out Nile Perch affecting jobs of hundreds of thousands of people.

Atakayekabidhi zawadi ni: Dk. Emmanuel Nchimbi (MB). Dk. Emmanuel Nchimbi ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Kwa maana hiyo yeye ndiye waziri ambaye anahusika zaidi na masuala ya EJAT.

TUZO YA HABARI ZA MAZINGIRA – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA MAZINGIRA – RADIO
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA UCHUMI NA BIASHARA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Happy Severine – Mtwara
2. Polycarp Machira – The Citizen, Dar es Salaam
3. Edith Karlo – Mtanzania – Kigoma

Na Mshindi ni: Polycarp Machira wa The Citizen, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Chinese show rare business acumen in Dar es Salaam”

Atakayetoa Zawadi ni: Afisa Mtendaji Mkuu wa FINCA. Finca ni mmojawapo wa wahisani wa EJAT. Wao walidhamini Tuzo za Habari za Uchumi na Biashara. Finca imeanzisha mradi wake wa kuwatoa mikopo kwa wanawake vijijini kwa lengo la kuwawezesha wanajamii kiuchumi na katika masuala ya kujiptia huduma ya afya, elimu na huduma nyingine.

TUZO YA HABARI ZA UCHUMI NA BIASHARA – TELEVISHENI I
Wateule ni:
1. Aneth Andrew – TBC, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Aneth Andrew, wa TBC, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Faida za zao la zabibu na changamoto zinazowakabili wakulima.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Afisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Bank.

TUZO YA HABARI ZA UCHUMI NA BIASHARA – TELEVISHENI I
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA ELIMU – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Frank Leonard – Habari Leo
2. Erick Kabendera – The Citizen, Dar es Salaam
3. Angela Sebastian – Uhuru, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Erick Kabendera wa gazeti la The Citizen. Habari iliyompa ushindi ni “Wards Secondary Schools: A lost generation in science and technology.”

Atakayekabidhi zawadi ni: Elizabeth Missokia, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu. HakiElimu ni mshirika wa EJAT Partner. HakiElimu inalenga kuleta usawa, ubora, haki za binadamu na demokrasia katika kuleta magezi katika mfumo wa shule na sera za elimu.

TUZO YA HABARI ZA ELIMU – TELEVISHENI

Wateule ni:
1. Victoria Patrick – TBC, Dodoma

Na Mshindi ni: Victoria Patrick wa TBC, Dodoma. Habari iliyompa ushindi ni “Elimu ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika.”

Atakayekabishi zawadi ni: Sabasaba K. Moshingi, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Benki ya Posta ni mojawapo ya wahisani wa EJAT.

TUZO YA HABARI ZA ELIMU -RADIO

Wateule ni:
1. Grace Kiondo- Zenj FM, Zanzibar
2. Mwamini Andrew – TBC Taifa, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Grace Kiondo wa Zenj FM, Zanzibar. Habari iliyompa ushindi ni “Watoto na changamoto za elimu.”

Atakeyekabidhi zawadi ni Prof. B. Killian. Prof Killian ni Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari, Chuo Kiku cha Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendajiwa Mlimani TV, Radio Mlimani and the Hill Observer.

TUZO YA HABARI ZA WATOTO – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Fredy Azzah –Mwananchi, Dar es Salaam
2. Nashon Kennedy – Habari Leo, Mwanza

Na Mshindi ni: Nashon Kennedy wa Habari Leo, Mwanza. Habari iliyompa ushindi ni “Mtoto aliyeolewa na kukeketwa.”

Atakayekabidhi zawadi ni: James Marenga kutoka Nola. Nola ni taasisi ambayo imekuwa ikitoa msaada wa kisheria na kutoa elimu ya sheria.

TUZO YA HABARI ZA WATOTO – TELEVISHENI

Wateule ni:
1. Anganile Mwakyanjala – TBC, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Angenile Mwakyanjala wa TBC. Habari iliyompa ushindi ni “Matatizo ya Watoto wa Mitaani”

Atakayekabidhi zawadi ni: Ussu Mallya, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

TUZO YA HABARI ZA WATOTO – RADIO

Wateule ni:
1. Mulhat Said- Chuchu Radio, Zanzibar
2. Sempanga Zawadi Mchome – Sauti ya Injili – Kilimanjaro

Na Mshindi ni: Sempanga Zawadi Nchome wa Sauti ya Injili, Kilimanjaro. Habari iliyompa ushindi ni “Watoto na viboko shuleni – Viendelee au vitolewe”

Atakayetoa Zawadi ni Johnson Mbwambo. Johnson Mbwambo ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira.

TUZO YA HABARI ZA HIFADHI ZA TAIFA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Iman Mani – Daily News, Dar es Salaam
2. Joseph Zablon – Mwananchi, Dar es Salaam
3. Paul James Sarwatt – Raia Mwema –Arusha

Na Mshindi ni: Paul James Sarwatt wa Raia Mwema. Habari iliyompa ushindi ni “Ufisadi Maliasili.”

Atakayekabidhi zawadi ni: Modestus Lilungulu, huyu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania National Parks Authority (TANAPA). TANAPA ni shirika linalojihusisha na uangalizi na udhibiti wa Mbuga za Taifa kwa ajili ya matumizi ya sasa na vizazi vijavyo.

TUZO YA HABARI ZA HIFADHI ZA TAIFA – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA HIFADHI ZA TAIFA – RADIO

Wateule ni:
1. Alex Magwiza – TBC Taifa, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Alex Magwiza from TBC Taifa, Dar es Salam. Habari iliyompa ushindi ni “Faida za hifadhi za Taifa- Mkomazi na Arusha kwa wananchi waishio jirani nazo.”

Atakayekabidhi zawadi: Simon Kivamwo, Mwenyekiti wa Association of Journalists Against Aids (AJAAT). AJAAT is EJAT’s partner.

TUZO YA HABARI ZA UTALII WA NDANI – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Albano Midelo – Nipashe –Songea
2. Monica Luwondo – The Guardian – Arusha
3. Gordon Kalulunga – Mtanzania – Mbeya

Na Mshindi ni: Monica Luwondo wa the Guardian, Arusha. Habari iliyompa ushindi ni “Wazawa wanavyobadilika na kuanza kutembelea vivutio vya ndani.”

The Presenter of the Award is: Dk. Marcelina Chijoriga, Mjumbe wa Bodi ya TANAPA.

TUZO YA HABARI ZA UTALII WA NDANI – TELEVISHENI

Wateule ni:
1. Cassius Mdami – Channel 10, Dar es Salaam
2. Juma Nugaz – Clouds TV, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Juma Nugaz wa Clouds TV Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Maisha na Utamaduni wa Wahadzabe.”

Atakayekabidhiwa Zawadi ni: Ananilea Nkya, Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA). TAMWA ni mmojawapo wa washirika wa EJAT

TUZO YA HABARI ZA UTALII WA NDANI – RADIO
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA MAAFA NA MIGOGORO – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Tom Masoba – The Citizen, Dar es Salaam
2. Bernard James – The Citizen, Dar es Salaam
3. Daniel Mbega – The Citizen, Dar es Salaam

And the winner is: Daniel Mbega from The Citizen, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni: “Technical error to blame for land conflict in Kapunga Rice Project”

The Presenter of the Award is: Afisa Mtendaji Mkuu wa Regalia Media Limited. Regalia Media Limited ni kampuni inayojihusisha na masuala ya habari na mahusiano ya jamii. Regalia Media Limited ni mojawapo ya Wahisani wa EJAT.

TUZO YA HABARI ZA MAAFA NA MIGOGORO – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA MAAFA NA MIGOGORO – RADIO

Wateule ni:
1. Joseph Burra – TBC- Taifa, Dar es Salaam
2. Joseph Burra –TBC Taifa (Alikuwa na habari mbili zilizoingia fainali)

Na Mshindi ni: Joseph Burra wa TBC Taifa, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Ajali ya MV Spice Islander.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Saleh Ali Mwinyikai, Katibu Mkuu, Wizara ya Habari na Utalii, Zanzibar

TUZO YA HABARI ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIA – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Bernard Lugongo –The Citizen, Dar es Salaam
2. Bernard Lugongo–The Citizen (Alikuwa na habari mbili ambazo ziliingia fainali)

Na Mshindi ni: Bernard Lugongo wa gazeti la The Citizen, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Biogas technology eases pains.”

Atakayekabidhi Zawadi ni Zuhura S. Muro. Zuhura ni Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Kazi Service Limited. Kazi Service Limited ni kampuni ya ushauri katika masuala ya uongozi wa kimkakati na maendeleo ya rasilimali watu.

TUZO YA HABARI ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIA – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIA – RADIO

Wateule ni:
1. Abel Onesmo Mwende – Clouds FM, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Abel Onesmo Mwende wa Clouds FM, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Teknolojia Mbalimbali zinazofanya nvyema ndani ya nje ya nchi.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Greyson Mutembei. Mutembei ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Sayansi (TASJA). TASJA ni Mshirika wa EJAT.

TUZO YA HABARI ZA MAWASILIANO – MAGAZETI

Wateule ni:
1. Rehema Mohamed – Majira – Dar es Salaam
2. Neville Meena – Mwananachi – Dar es Salaam.

Na Mshindi ni: Neville Meena wa Mwananachi, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Kutanuka kwa matumizi ya simu za mkononi na huduma zinazopatikana.”

Atakayekabidhi Zawadi ni: Mama Margret Munyaga, Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Zamani alikuwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).

TUZO YA HABARI ZA MAWASILIANO – TELEVISHENI
Hakuna Wateule, Hakuna Mshindi

TUZO YA HABARI ZENYE MVUTO MKUBWA KWA WATU – MAGAZETI (Hili kundi lilitokana na habari zilizowasilishwa kwenye kundi la wazi)

Wateule ni:
1. Suzy Butondo – Mwananchi, Dar es Salaam
2. Polycarp Machira – The Citizen, Dar es Salaam

Na Mshindi ni: Polycarp Machira wa gazeti la The Citizen, Dar es Salaam. Habari iliyompa ushindi ni “Young people who are faced with hardship in life.”

Atakayekabidhi zawadi ni Athumani Rehani, Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

MSHINDI WA JUMLA

Wateule ni:
1. Polycarp Macharia – The Citizen, Dar es Salaam
2. Nevile Meena – Mwananchi, Dar es Salaam
3. David Azaria – Habari Leo, Mwanza
4. Joseph Bura – TBC Taifa

Na Mshindi ni: Neville Meena wa gazeti la Mwananchi. Alishinda katika Tuzo ya Habari za Utawala Bora na Tuzo ya Habari za Mawasiliano.

Atakayekabidhi Zawadi hii ni: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

TUZO YA MAISHA YA MAFANIKIO KATIKA TASNIA YA HABARI

Wateule ni:
1. Edda Sanga
2. Fili Karashani
3. Ben Kiko

Na Mshindi ni: Fili Karashani

JOPO LA MAJAJI WA TUZO ZA EJAT 2011
1. Bw. Wencestalus Mushi – Mwenyekiti
2. Bw. Attilio Tagalile – Katibu
3. Bibi Pili Mtambalike- Mjumbe
4. Bw. Yusph Omar Chunda – Mjumbe
5. Bibi Pudenciana Temba – Mjumbe
6. Bw. Anaclet Rwegayura – Mjumbe
7. Bibi Edda Sanga – Mjumbe
8. Bw. Mwanzo Millinga- Mjumbe
9. Bibi Bernadina Chahali – Mjumbe

JOPO LA WATAALAM WALIOPENDEKEZA MAJINA YA WATEULE WA TUZO YA MAISHA YA MAFANIKIO KATIKA TASNIA YA HABARI
1. Theophil Makunga – Chairperson
2. Hamis Mzee – Secretary
3. Lillian Kallaghe – Member
4. Jenerali Ulimwengu – Member
5. Joyce Mhaville – Member

Advertisements
Categories: All Stories
  1. No comments yet.
  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: