Home > All Stories > TMF yatangaza maombi ya Program ya Fellowship 2012

TMF yatangaza maombi ya Program ya Fellowship 2012

TMF-3 Advert_Swahili

TMF FELLOWSHIP ADV_ENG

Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umetangaza maombi kwa ajili ya awamu ya tatu ya programu ya Fellowship 2012.

Kwa mantiki hiyo basi, waandishi wa habari nchini wanakaribishwa kutuma maombi ili kushiriki Mpango huo wa Mafunzo ya Vitendo utakaowasaidia kuboresha uelewa wao na hasa katika kuripoti habari za uchunguzi na za kijamii.

Awamu ya kwanza ilifanyika mwaka 2010 ikiwashirikisha waandishi wanne, na awamu ya pili ilifanyika mwaka 2011 ikiwasirikisha waandishi watano, ambapo Admin wa blogu hii alikuwa miongoni mwao na akafanikiwa kunyakua Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari katika kitengo cha Majanga na Migogoro.

Hii ni fursa nzuri kwa waandishi wote kujitokeza, kwani mafunzo yanayotolewa kwenye programu hiyo ni ya hali ya juu huku kukiwa na waandishi wakongwe na mahiri nchini wanaowaongoza. Kazi kwenyu…

Advertisements
Categories: All Stories
  1. No comments yet.
  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: